MBUYU huu ni mkubwa sana ambao unapatikana katika hapa kwetu tanzania
katika makumbuso ya BAGAMOYO
HISTORIA FUPI YA MBUYU HUU
huu ni mbyu ambao wazee wazamani walikuwa wakiutumia katika kufanyia mamb yao ya mila
napi walikuwa wanaamini ya kwamba ukizunguka mbuyu huu kulia kwenda kushoto
walikuwa wakiamini yakwamba unaongeza siku zakuishi
na pia ukizunguuka mbuyu huu kushoto kwenda kulia walikuwa wakiamini ya kwamba unapunguza siku za kuishi
FIKA MAKUMBUSHO YA BAGAMOYO UWEZE JIONEA HUU MBUYU LIVE
Comments
Post a Comment