N i good news kwa msanii wa bongo DIAMOND PLATNAMZ ambayo leo december 6 2016
mkewe ZARI HASSAN amejifungua mtotowa kiume
katika hospitali ya netcare pretoria south africa lakina diamond platnam amepost kupitia ukulasa wake wa instragram na kueleza furaha yake ila bado hawajampatia jina mtoto huyo
Comments
Post a Comment