Headlines mpya za mtoto wa pili wa Diamond Platnumz Instagram

  
Siku chache baada ya star mwimbaji   Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari kupata mtoto wa pili ambaye alizaliwa December 6 2016 tayari mtoto huyo ameanza kuzichukua headlines baada ya tu kupewa jina na kufunguliwa akaunti ya Instagrama ambayo mpaka kufikia leo imefikisha followers zaidi ya 26.5 elfu.
Zari alijifungua saa 10:35 alfajiri katika Hospitali ya Netcare  Pretoria South Africa, Pamoja na kuwaomba mashabiki wake kumsaidia kupata jina la mtoto wake ambaye ni wa wakiume, Diamond na Zari wameamua kumuita mtoto huyo jina la Riaz Nasib Abdulhuku ikisemekana kuwa ni kinyume cha jina la Zari “Riaz”.riaz
Ikumbukwe kuwa mtoto wa kwanza Diamond na Zari, Princes Tiffa amefikisha followers zaidi ya milioni 1 na kuwa mtoto wa kwanza barani Afrika kuweka rekodi hiyo. 
untitled

Comments