HISTORIA FUPI YA KABURI LA BINTI SHARRIFU HUKO BAGAMOYO

 
KABURI LA MJUMBE WA MWENYEZI MUNGU KARNE HIYO YA  13 BINT SHARRIFA
baada ya kufikishwa ujumbe huu hapa dunia arifaliki dunia akiwa na umri wa miaka 13 hilo ndo kaburi lake lililojenga kaene hiy  ya 13 huyu binti alikuwa akiwasaidia watu matatizo mbalimbali 
 hivyo basi baada ya kifo cha huyu binti sharrifu
pia  walikufa na watoto watatu kwa pamoja hivyo wakamua kuyajengea 
makabuli haya hapo hapo walikuwa wakiamini ya kwamba hawa ni malaika waliokuwa
wanamsapoti huyu bint kati ka kazi zake hivyo ukiwa na shida ya mambo mbalimbali unaingia katika 
hicho kijumba walicho mjengea nakufanya maombi ukiomba kwa imani yako utafanikiwa 
kama ukibahatika kwenda embu angalia ngani ya hicho kijumba utakacho kiona ni siri yako

 kama nilivyo sema awali hapo juu yakwamba watu huwa wanaingia kufanya ibada humu katika kaburi la binti huyu sharrifu picha hii ni watu wakiingia kufanya ibada katika kaburi hili ukisali kwa imani yako utafanikiwa


Comments