HUYU NDO MSANII ANAYE MKUBALI DIAMOND BAADA YA KUMTAJA KATIKA UKUR SA WAKE WA INSTAGRAM NIHUYU.....


eo December 12 2016 kupitia ukurasa wa instagram wa msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amemtakia kheri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa msanii, producer na CEO wa record label ya The Industry Nahreel.
Kubwa zaidi kupitia salamu hizo ni kuhusu Diamondkusema anamshukuru Nahreel kwa kumtambulisha rapper mpya wa kike kupitia yake record label yake Rosa ree kwani ni moja kati ya rappers wa kike anayemkubali na anaupenda wimbo wa msanii huyo  ”One Time”

Comments