UNAWEZA FANYA HIVYO KAMA IFUATAVYO
2} PINDI SIMU YAKO UMEIWASHA TU ANZA KUBONYEZA BATANI YA KUONGEZEA SAUTI,
3} ITAFUNGUKA IKISHA FUNGUKA UTAONA NENO FACTORY RESET SHUKA CHINI KWA KUTUKIA BATANI YAKO YA KUONGEZA SAUTI KISHA BOFYA NENO FACTORY RESET KWA KUTUMIA BATANI YAKO YA KUZIMIA SIMU KISHA UKISHA BOFYA HAPO UTAONA SIMU YAKO INA FOMATI ACHA USIPONYEZE BATANI YA AINA YOYOTE PINDI INAPO FOMAT KISHA ITAJIZIMA NA KUJIWASHA YENYEWE
KUTAKUWA HAKUNA CHA PATTER USIKOSE KUPITIA BLOG YETU KILA SIKU
KWAKUELEWA ZAIDI KWA VITENDO TIZAMA VIDEO HII
Ok
ReplyDeleteSwali nahitaji kujua kama inawezekana kama mtu anatua mameno machafu au kutukana kwenye hadhara ya watu sasa nataka kumzimia mawasiliani yaani date bila ya mwenyewe kujua kwa kutumia smart phone inawezekana na kama inawezekana naomba program zake
ReplyDelete