JINSI YA KUTUMIA SIMU YAKO KAMA MODEM KATIKA COMPUTER


                                        SIMU KWA COMPUTER    


TO



Tumia simu yako ya Android ktk Computer
Una Computer, Una Smartphone yenye Android OS na huwa unapata tabu kutumia simu yako wakati ukiwa busy na computer?
Chini hapo ninakuletea Maelezo ya Software nzuri kabisa itakayokuwezesha kutumia simu yako ktk Computer kwa njia nyepesi zaidi
Angalizo;
Software hii ni trial lakini nitakufundisha namna ya kuiactivate forever.
Faida za software hii ni kama ifuatavyo;
  1. Unaweza backup namba zako za simu ktk computer kwa urahisi
  2. Unaweza hamisha picha, video, audio files kwa kuziona, kuchambua na kufuta, kutoka ktk simu kwenda ktk computer.
  3. Unaweza futa sms za zamani kwa urahisi zaidi
  4. Unaweza install applications za simu kwa urahisi kama playstore yako huwa inasumbua.
  5. Unaweza uninstall application iliyogoma kutoka ktk simu yako kwa njia ya kawaida.Vitu gani unavyotakiwa kuwa navyo ili kutumia software hii, Ni vichache tu;
  • USB Cable ya simu yako
  • Computer
  • Simu yako
Angalizo;
Version hii ndio imekuwa approved kwa kuwa activated na njia hii nitakayokuelekeza, na itafanya kazi bila usumbufu wowote.
Kuna njia moja tu ambayo ni rahisi zaidi kudownload software yetu, nayo ni kwa kuwasiliana nasi ili tukupe link ya kudownload iliyokuwa updated;
Muhimu;
  1. Utadownload hii software kupitia link iliyotolewa hapo chini kisha save ktk Computer yako na itakuja ktk folder moja ambalo limekuwa zipped.
  2. Ukimaliza kudownload ukasave folder hilo,
  3. Right click ktk hilo folder halafu click “Unzip” au “open with win rar” au “extract files here”,
Ndani ya folder utakuta vitu viwili,
  1. Kitu cha kwanza ni software setup imeandikwa “mobilego_full818” na,
  2. kitu cha pili ni kifile fulani hivi kitaalamu kinaitwa “dll file” kimeandikwa “WsAppFoundation.dll
  3. muhimu kwako kukariri jina la kidude cha pili.
Ukiwa na hivyo vitu viwili tayari sasa hatua za kuinstall zinaanza.
Hatua za kuinstall;
  1. Double click hiyo software iliyoandikwa “mobilego_full818” kisha fuata maelekezo kama inavyokutaka uinstall mpaka mwisho, hapa najua hakuna shida sana, wengi tunajua kuinstall software, maana ni sawa tu na kama unavyoinstall games, au program za kuedit picha.
  2. Kama tunavyozifahamu Computer zetu huwa zina kitu kinaitwa “local disk c” ambako kila software inapokuwa installed inakaa.
  3. Sasa basi ukisha install hiyo software nakuomba ufanye kitu kifuatacho,
    fungua “local disk c”
  4. halafu ndani humo fungua tena folder limeandikwa “program files”
  5. kisha tena fungua folder limeandikwa “Wondershare”
  6. na mwisho fungua folder limeandikwa “MobileGo”
  7. Ukiwa ndani ya hili folder linaitwa “MobileGo” utaona vitu vingi, kinachokuhusu ni kimoja tu, angalia kidude cha ishirini (20) kutoka chini, utakuta kimeandikwa “WsAppFoundation.dll”, sawa na lile jina nililokwambia ulikalili, enheeee hapo hapo ukishajionea, tulia kwanza, weka pozi kidogo.
Kisha soma vizuri maelezo hapa uelewe;
hicho kidude ulichokikuta hapo ndio kimebeba ukomo wa matumizi ya hiyo software, yaani ndicho kinachosababisha iitwe TRIAL, sasa basi kifute kabisa usikione, halafu,
Fanya kitu kifuatacho;
Nenda kwenye folder ulilodownload kikopi kile kidude kingine nilichokwambia ukalili jina lake kisha nenda ukakipaste kule ulikofuta cha kwanza. Najua hapo ushaelewa nimemaanisha nini, yaani ndio kuactivate kwenyewe huko.
Au kwa ufupi “replace the “WsAppFoundation.dll” file in the folder called “mobilego” with the one you downloaded in the zipped folder.
Na Hapo utakuwa umeactivate software yako moja kwa moja,
Madhara yake usipo fanya hivyo, ni kwamba, hautaweza kuitumia kabisa hiyo software, kila mara itakuwa inakusumbua kwa message nyingi nyingi za kununua nyingine”
Sasa kamata Simu yako;
  1. Click “settings”
  2. Click “Developer options” chini kule juu ya About phone/tablet
  3. halafu piga tiki sehemu imeandikwa “usb debugging”
  4. kisha connect simu yako kwenye computer kwa kutumia usb cable.
  5. itainstall drivers automatically na kisha ikimaliza tu, software itaload na kukuomba uconnect simu yako.
  6. Endelea kuenjoy maisha, ukikwama niulize nitakujibu.
Kwa wale ambao hamuoni hiyo “Developer options” utaona maelekezo mazuri tu pindi ukichomeka simu yako.
Software yenyewe itakuwa inakwambia hivi;
  1. Click “settings”
  2. Click “about phone” au kwa wenye tablet “about tablet”
  3. halafu bofya sehemu iliyoandikwa “Build number” mara saba itakwambia “you are already a developer.
  4. kisha ukiipata piga tiki sehemu imeandikwa “usb debugging”
  5. kisha connect simu yako kwenye computer kwa kutumia usb cable.
  6. itainstall drivers automatically na kisha ikimaliza tu, software itaload na kukuomba uconnect simu yako.
  7. Endelea kuenjoy maisha, ukikwama niulize nitakujibu.

Comments