PICHA 14:TETEMEKO LA ARDHI LILILOTOKEA INDONESIA NA KUSABABISHA VIFO

Tetemeko kubwa la ardhi lililo tokea katika mkoa wa aceh nchini Indonesia na imeripotiwa kusababisha vifo vya watu 92 na mamia ya watu wamebaki majeruhi na kusababisha uharibifu mkubwa.  Tetemeko hilo la nguvu ya 6.4 kwenye vipimo vya Richter lilitokea karibu na mji wa Sigli katika kisiwa cha Sumatra. 
Maafisa wanasema watu wengi wamefukiwa kwenye vifusi vya majumba yaliyoporomoka na mpaka sasa shughuli ya uokozi  inaendelea
161207090747-01-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169161207090910-02-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169161207091004-03-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169161207091125-04-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169161207091217-05-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169161207091305-06-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169161207091404-07-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169161207091458-08-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169161207091612-09-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169161207113537-01-indonesia-aceh-earthquake-exlarge-169161207153132-03-indonesia-aceh-earthquake-exlarge-169161207172127-04-indonesia-aceh-earthquake-exlarge-169
twi twit4


 Niachie comment yako ya R.I.P ILI WAWEZE KUPUMZIKA KWA AMANI

Comments