PICHA; MCHEZAJI WA MBAO FC AMEFARIKI BAADA YA KUGOGWA UWANJANI

SOKA LA TANZANIA LEO DEC 4 2016
kutokana nakutokea kifo cha mchezaji timu ya mbao fc chini ya umri wamiaka 20
ISMAIL KHALFAN
 aliyekuwa chini ya kikosi cha mbao FC kilichocheza chini ya mwadau FC

ismair khalfan alipoteza maisha  katika michuano chini ya vijana chini ya umri wa miaka 20
katika mchezo wa mwisho raundi ya saba kundi A kituo cha kaitaba bukoba ismail khalfan alikuwa amevaa jezi nambari 4 katika michuano hiyo


Comments