PICHA; NUH MZIWANDA NA MKEWE WATARAJIA KUPATA MTOTO

Nisiku 21baada msanii wa bongo flaver kutangaza kufunga ndoa na mchumba wake
december 1 ndoa imeingia kwenye headelines mpya ambazo awali zilianza kuenea kama tetesi tu

NUH MZIWANDA na mpenzi wake walifunga ndoa november 10 2016 huku
tetesi zikiwa zimeenea mtaani kuwa wameamua kufunga ndoa baada ya mchumba wa nuh kupata ujauzito


Comments