Q CHIEF KUACHIA WIMBO WAKE ALIOFANYA NA PATORANKING 'KOKU'

Msanii mwenye sauti tamu kunako katika muziki wa Bongo Flava Abubakary ‘QChief’ Katwila, wiki hii anatarajia kuachia wimbo wake aliyofanya na Patoranking uitwao ‘Koku’.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram na Kurasa za mastaa wengine, kumeonekana picha inayoashiria kuja


Comments