
>>>’Ben Pol Dodoma ni nyumbani kwao na mimi ni ukweni ndio maana alichukuwa nafasi hiyo ya kunitambulisha kwa ndugu zake na familia, Ben Pol alinipandisha kwenye stage kunitambulisha ndio ikatokea kitu kama kile sio kwamba tulifanya show pamoja mimi na yeye hapana …’ – Snura
djwasafiblog.com imepata video hii zimempata Ben Pol ambaye ametoa ufafanuzi kuhusu ishu nzima ilivyokuwa ….>>>‘Unajua ile ilikuwa arts tulitengeneza tu sanaa fulani ya stage na haikuwa skendo wala haikuwa kiki, kuhusu kumtambulisha Dodoma, hapana wazazi wangu wenyewe hawapo Dodoma wako Dar es salaam’ – Ben Pol
Comments
Post a Comment