VIDEO: Watanzania wanaofanana na Diamond, Ngwea, Balotelli, Bruno Mars, Chidi Benz, Hasheem walivyojitokeza

XXL After School bash ni party ambayo hudondoshwa Dar  es salaam kila mwishoni mwa mwaka na kuhusisha Wanafunzi ambao pamoja na kushuhudia burudani ya Wasanii kwenye stage, hujihusisha na mashindano mbalimbali ikiwemo ya Wanaofanana na mastaa.
Kwenye After School Bash ya mwaka 2014 walijitokeza Watoto wa Kitanzania ambao wanaamini sura zao zinafanana na Mario Balotelli, Diamond Platnumz, Bruno Mars, Marehemu Ngwea, Hasheem Thabeet, Chidi Benz, Bob Juniour na wengine.
Wakati tukiisubiria AFTER SCHOOL BASH ya 2016itayofanyika Escape One Mikocheni Jumamosi hii ya December 10, tazama hii video hapa chini ujionee na uniachie comme comment kusema ni nani katisha zaid

Comments