VIDEO; WAZIRI MWIJANGE KUHUSU KUFUNGWA KIWANDA CHA DANGOTE NA UBORA WA MAKAA YA MAWE

Ni siku moja baada ya kiwanda cha DANGOTE kutangazwa kuwa kimesitisa
uzalishaji ikiwemo uchumi, Wanasiasa walitoa maneno mengi yakiendelea kwenye mi
tandao yakijamii 

Waziri wa viwanda biashara na uwekezaji CHARLES  MWIJANGE na ameeleza sababu ya kiwanja hicho kufungwa na kuhusu maneno yalio endelea kwenye viwanda vya saruji wamefunga
viwanda kugomea makaa ya mawe ya hapa nchin kuwa hayana ubora kama wanayo 
yapata nje ya nchi

>>>>>mkurugenzi mtendaji wa kiwanda amesema ni tatizo la kiufundi na rekirekebiswa
katika  kipindi kifupi kisicho zidi wiki mbili 

 Angalia hiyo video na sikiliza kwa umakini

Comments