VIDEOS VideoMPYA: Christina Shusho katuletea hii video mpya ‘akutendee nini'

Ni mwimbaji hodari wa Injili Tanzania ambaye ni miongoni mwa Waimbaji 10 waliowahi kumiliki chati ya muziki wa Injili kwa miaka na leo ametuletea hii nyingine mpya, ukishaitazama unaweza kuacha comment yako akipipa ajuwe umeipokeaje
                                             

Comments